Kimasaaba ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wamasaaba. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimasaaba imehesabiwa kuwa watu 1,120,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimasaaba iko katika kundi la J30.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimasaaba (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.