Kimassalat ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wamassalat. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimassalat imehesabiwa kuwa watu kumi tu, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa. Wamassalat wengi hutumia Kiarabu kama lugha yao ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimassalat iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimassalat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.