Vimatu, matumatu au maige ni wana au tunutu wa panzi. Wanafanana na panzi wapevu lakini ni wadogo zaidi na mabawa yao hayajakomaa.

Vimatu vya Nzige Mwekundu
Kimatu cha Nzige Msafiri
Makala hii kuhusu "Kimatu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.