Kimbosi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wambosi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbosi imehesabiwa kuwa watu 108,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbosi iko katika kundi la C30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbosi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.