Kimin-Bei ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kimin-Bei nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 10.3. Pia kuna wasemaji 4000 nchini Singapuri (1985). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimin-Bei iko katika kundi la Kichina.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimin-Bei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.