Kimmaala ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wammaala. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimmaala imehesabiwa kuwa watu 5300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimmaala iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimmaala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.