Kimoi

Lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kimoi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wamoi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimoi imehesabiwa kuwa watu 3020. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimoi iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimoi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.