Kimolof ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamolof. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kimolof imehesabiwa kuwa watu 230. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimolof haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimolof kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.