Kimpur ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wampur. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimpur imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimpur haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimpur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.