Kimunda ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamunda. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimunda imehesabiwa kuwa watu 469,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimunda iko katika kundi lake lenyewe la Kimunda.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.