Kinamla ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanamla. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kinamla imehesabiwa kuwa watu 30 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinamla haihusiani na lugha nyingine ila labda Kitofanma.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinamla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.