Kinanai ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi na Uchina inayozungumzwa na Wananai. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kinanai nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 1350. Pia kuna wasemaji 40 nchini Uchina (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinanai iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinanai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.