Kingando (Afrika ya Kati)

Kingando ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wangando. Isichanganywe na Kingando nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kingando imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingando iko katika kundi la C10.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingando (Afrika ya Kati) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.