Kingom ni lugha ya Kibantu nchini Gabon na Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wangom. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingom nchini Gabon imehesabiwa kuwa watu 8240. Pia kuna wasemaji zaidi ya 4500 nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingom iko katika kundi la B20.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.