Kingombale ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangombale. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kingombale imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingombale iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingombale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.