Kingston

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Kingston ni jina la miji mbalimbali duniani.

Asili ya jinaEdit

Asili ya jina ni Kiingereza "King's Town" yaani "mji wa mfalme". Nchini Uingereza kuanzishwa kwa mji ulihitaji kibali cha mfalme wa nchi. Hivyo tamko la "mji wa mfalme" likawa sehemu ya jina la mji mara kadhaa. Waingereza kutoka miji mbalimbali iliyoitwa "Kingston" walipeleka jina hili kote duniani walipoanzisha miji katika koloni zao au kutoa majina mapya kwa miji ya koloni.

JamaikaEdit

Uingereza (Ufalme wa Muungano)Edit

UingerezaEdit

UskotiEdit

AustraliaEdit

KanadaEdit

New ZealandEdit

MarekaniEdit

 
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.