Kinoone ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanoone. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinoone imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinoone iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinoone kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.