Katika hisabati, kinyume jumlishi cha x ni namba ambayo, ikijumlishwa pamoja na x, inapa 0, inayojulikana kama utambulisho jumlishi. Alama yake ni sawa na alama ya utoaji. Kwa mfano, kinyume jumlishi cha 5 ni -5.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyume jumlishi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.