Kioblo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun iliyozungumzwa na Waoblo. Hakuna uhakika kama bado kuna wasemaji wa Kioblo. Kwa hiyo labda lugha imeshatoweka tayari. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioblo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioblo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.