Kionyeshi (tarakilishi)

Kwenye kiwambo, kionyeshi (kwa Kiingereza: text cursor) ni kielekezi kinachoonyesha pahali pa maingiliano kati ya mtumiaji na tarakilishi.

Kionyeshi cha nakala kuandika Wikipedia.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.