Kiormu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waormu kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiormu imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kwa vile Waormu wengi wameacha lugha yao, Kiormu iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiormu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiormu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.