Kioromo-Kusini (pia Kiborana) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia na Kenya inayozungumzwa na Waoromo na Waborana. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kioroma-Kusini nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 3,630,000. Pia kuna wasemaji 277,800 nchini Kenya (2009) na wasemaji 41,600 nchini Somalia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioromo-Kusini iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioromo-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.