Ibada (kipaji)
(Elekezwa kutoka Kipaji cha ibada)
Ibada kama kipaji cha Roho Mtakatifu ni utayari wa Mkristo kuongozwa na Roho Mtakatifu katika kumuabudu Mungu namna ya kumpendeza, yaani kwa kumuita Baba. Pamoja na kumfanya amtambue Mungu hivyo na kujitambua mtoto wake, kipaji hicho kimanfanya atambue wote kuwa ndugu.
Ibada ni kipaji cha Roho Mtakatifu kinachotufanya tumpende Mungu kama Baba yetu mwema na watu wote kama ndugu; kwa msingi huo kutimiza utumishi wa Mungu na yote yale yenye kumpa Mungu sifa na heshima.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ibada (kipaji) kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |