Kipaulohi (pia Kisolehua) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapaulohi kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kipaulohi imehesabiwa kuwa watu 50 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaulohi iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipaulohi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.