Kipazasauti cha sikio
Kipazasauti cha sikio au spika ya sikio (kwa Kiingereza: headphones) ni kifaa kinachotumika kwa kutoa sauti masikioni.
Marejeo
hariri- Katikiro, E. G. (2018). Tathmini ya maana katika maneno ambatani ya Kiswahili. Mulika Journal, 36(1)