Kipeo cha pili

(Elekezwa kutoka Kipeo)

Katika hisabati, kipeo cha pili (kwa Kiingereza : square) ni tokeo la kuzidisha namba mara namba hii.

Kipeo cha pili cha namba tano


Kwa mfano, 4 ni kipeo cha pili cha 2 kwa hivyo 2*2=4

9 ni kipeo cha pili cha 3 kwa hivyo 3*3 = 9

Kwa programu ya takwimu R hariri

Ili mtafute kipeo cha pili kwa lugha ya programu ya takwimu R mandike :


> 5^2

[1] 25

Marejeo hariri

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.