Katika hisabati, kipeuo cha pili (kwa Kiingereza: square root) cha namba x ni namba y inayolingana y2=x.

Alama ya kipeuo cha pili.
Kipeuo cha pili cha namba 25 ni 5

Kwa mfano, 2 ni kipeuo cha pili cha 4 kwa hivyo 22=4

3 ni kipeuo cha pili cha 9 kwa hivyo 32 = 9

Kwa programu ya takwimu R

hariri

Ili mtafute kipeo cha pili kwa lugha ya programu ya takwimu R mandike :

> sqrt(25)

[1] 5

Marejeo

hariri
  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.