Kiruga ilikuwa lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi iliyozungumzwa na Waruga. Msemaji wa mwisho wa lugha ya Kiruga alifariki miaka michache baada ya 2000. Waruga wote wengine hutumia lugha ya Kigaro badala ya lugha yao ya asili, maana yake lugha ya Kiruga imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiruga iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiruga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.