Kisa'a ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wasa'a kwenye visiwa vya Ulawa na Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kisa'a imehesabiwa kuwa watu 11,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisa'a iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisa'a kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.