Kisamvu

Kisamvu ni majani yanayopatikana katika mmea wa muhogo ambayo hufanywa kama mboga inayoendana na chakula ikileta virutubisho mbalimbali katika mwili wa binadamu.

Kisamvu
WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Kisamvu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.