Kisarikoli ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uchina inayozungumzwa na Watajiki. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisarikoli imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisarikoli iko katika kundi la Kipamir. Inafanana na Kitajiki nchini Tajikistan lakini ni lugha tofauti.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisarikoli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.