Kisharwa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Washarwa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisharwa imehesabiwa kuwa watu 5100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisharwa iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisharwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.