Kisiwa cha Bulingugwe

(Elekezwa kutoka Kisiwa cha Bulinguge)

Kisiwa cha Bulingugwe (pia: Bulinguge, Bulingugu) ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kampala).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri