Kisiwa cha Bulingugwe
Kisiwa cha Bulingugwe (pia: Bulinguge, Bulingugu) ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kampala).
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Bulingugwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |