Kisiwa cha Bunyama

Kisiwa cha Bunyama ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kalangala).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri