Kisiwa cha Koome

(Elekezwa kutoka Kisiwa cha Kome (Uganda))

Kisiwa cha Koome ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Mukono).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri