Kikistane

(Elekezwa kutoka Kisoddo)

Kikistane (pia Kisoddo) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakistane. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kikistane imehesabiwa kuwa watu 255,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikistane iko katika kundi la Kisemitiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikistane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.