Kistari

Kistari (kwa Kiingereza: dash) ni alama ya uakifishaji yenye umbo la mstari.

Alama ya kistari.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).