Kitabu pepe

Kitabu pepe (kwa Kiingereza: electronic book au e-book) ni kitabu kinachopatikana kwenye umbo la tarakimu na kusomwa katika tarakilishi, hasa kupitia intaneti.

Kitabu pepe cha Amazon kinaitwa "Kindle 3".

Zinapatikana pia maktaba pepe ambamo inawezekana kukuta, kuchagua na kusoma vitabu vingi.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).