Kitana ni kifaa kinachotumika kutana nywele. Kifaa hiki kinasaidia kutana nywele.

Hii ni picha ya kitana chenye saizi ndogo, na kubwa kwa nywele tofautitofauti.

Kuna aina nyingi za vitana: kuna kitana kikubwa kwa ajili ya nywele ndefu, na kidogo kwa ajili ya nywele fupi na cha saizi ya kati.

Siku hizi mara nyingi kitana huwa ni vya plastiki.