Kiteke-Tsaayi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Watsaayi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Tsaayi nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 95,900 na nchini Gabon 33,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Tsaayi iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Tsaayi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.