Kithai-Kusini

(Elekezwa kutoka Kithai ya Kusini)

Kithai ya Kusini ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uthai inayozungumzwa na Wathai. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kithai ya Kusini imehesabiwa kuwa watu milioni nne na nusu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kithai ya Kusini iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithai-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.