Kitobanga ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Watobanga. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitobanga iko katika kundi la Kichadiki.

Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kitobanga ilihesabiwa kuwa watu 30,000.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitobanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.