Kitonsea ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watonsea kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kitonsea imehesabiwa kuwa watu 90,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonsea iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitonsea kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.