Kituo cha Ekolojia (Orange County)

Makala hii kuhusu "Kituo cha Ekolojia (Orange County)" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Kituo cha Ekolojia ni shirika la elimu lisilo la faida linalopatikana Orange County, California,ambalo limejikita katika uelewa wa mazingira.[1]

Marejeo hariri

  1. "A water-wise O.C. is within reach". Orange County Register (kwa en-US). 2014-08-29. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.