Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha

Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa mjini Arusha nchini Tanzania.

Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha
English: Arusha International Conference Centre
AnuaniMtaa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
MahaliArusha, Tanzania
Anwani ya kijiografia3°22′4″S 36°41′46″E / 3.36778°S 36.69611°E / -3.36778; 36.69611
MmilikiSerikali ya Tanzania
OparetaWizara ya Mambo ya Nje
Kilifunguliwa1977
Uwezo
Mtindo wa kukalia darasani25-70
Kukalia Ukumbi160-1,350
Mtindo wa karamu130-2,500
Eneo la ndani
 Jumla ya eneomita za mraba 5,420
Tovutiaicc.co.tz