Kituri ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Waturi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kituri imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kituri iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.