Kiwandala ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun na Nigeria inayozungumzwa na Wawandala. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiwandala nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 23,500. Pia kuna wasemaji 20,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwandala iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwandala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.