Kiwango cha kuyeyuka

Kiwango cha kuyeyuka ni halijoto ambako dutu mango hubadilika na kuingia katika hali ya kiowevu. Dutu nyingi haziyeyuki mara moja lakini kuna upeo fulani wa sentigredi kadhaa ambako dutu yalainika hadi kuyeyuka kabisa. Kiwango cha kuyeyuka ni hali ambako tabia za hali imara na hali kiowevu ziko kwa uwiano sawa.

Melting icecubes.gif

Kwa dutu safi (isiyochanganyikwa) kiwango cha kuyeyuka ni sawa na kiwango cha kuganda kama kiowevu chageukia kuwa imara kwa mfano maji kuwa barafu au kinyume chake barafu kuwa maji.

Kiwango cha kuyeyuka na pia cha kuganda cha maji ni 0°C au 273,15 K).

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwango cha kuyeyuka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.