Kiwolane ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wawolane. Idadi ya wasemaji wa Kiwolane haijahesabiwa. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya Kisilt'e. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwolane iko katika kundi la Kisemitiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwolane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.